Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa

Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa
kiungo : Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa

soma pia


Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa

NA MWANAJUMA MMANGA
SALA ya Idd El-Hajj kitaifa, inatarajiwa kusaliwa katika kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
Ofisa shughuli za hijja katika Kamisheni ya Wakfu Maliamana Zanzibar, Hassan Ali Kombo, aliyasema hayo wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
Alisema sala hiyo itasaliwa katika uwanja wa mpira wa Jamhuri na kama kutanyesha mvua itasaliwa msikiti wa Mtegani.
Alisema sala hiyo itafuatiwa na baraza la Eid, litakalofanyika katika kijiji jirani cha Kizimkazi Mikunguni, ambapo wageni mbali mbali wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, watashiriki.
Alisema wengine wanaotarajiwa kuhudhuria baraza hilo ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Alisema matayarisho yamekamilika, hivyo aliwaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika sala hiyo.


Hivyo makala Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa

yaani makala yote Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/sala-ya-eid-el-hajj-kusaliwa-makunduchi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Sala ya Eid el Hajj kusaliwa Makunduchi kitaifa"

Post a Comment