Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu

Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu
kiungo : Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu

soma pia


Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu


Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa akifungua mkutano wa wadau (hawapo pichani) wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu unaofanyika kwa siku mbili mjini Morogoro. Kulia ni Mkurugenzi wa Ajira na Maendeleo ya Watumishi, Bibi Christina Hape na kushoto ni Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu
Mkurugenzi wa Ajira na Maendeleo ya Watumishi, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Christina Hape akitoa ufafanuzi wa utendaji kazi wa Tume ya Utumishi wa walimu. Katikati ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa na kushoto ni Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu.
Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu akiongea na wajumbe (hawapo pichani) katika mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu. Katikati ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa akifuatiwa na Mkurugenzi wa Ajira na Maendeleo ya Watumishi, Bibi Christina Hape.
Wakili Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Donald Chidowu akiongea na wajumbe (hawapo pichani) katika mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu. 
Washiriki wa Mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu wakichukua dondoo muhimu wakati wa mkutano. 
Afisa Sheria wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bw. Deogratias Haule akitoa maelezo katika mkutano wa kujadili marekebisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu unaofanyika mjini Morogoro.


Hivyo makala Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu

yaani makala yote Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wadau-wa-elimu-wajadili-marekebeisho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wadau wa Elimu wajadili Marekebeisho ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu"

Post a Comment