title : VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR
kiungo : VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR
VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR
Mkuu wa kitengo cha biashara wa DCB Benki James Ngaluko akizungumza na viongozi wa timu zinazoshiriki Ndondo Cup 2018 walipotembelea Benki hiyo kujifunza huduma mbalimbali za kibenki na kufungua akaunti za timu zao. DCB Benki ndiyo mdhamini wa Ndondo cup 2018.
Moja ya waratibu wa mashindano ya Ndondo Cup Yahya Mohamed akizungumza na viongozi wa timu za Ndondo Cup wakati walipotembelea ofisi za benki ya DCB ambaye ni mdhamini wa michuano hiyo kwa mwaka 2018.
Moja ya viongozi wa timu shiriki za michuano ya Ndondo Cup akizungumza mbele ya viongozi wa benki ya DCB na waandaaji wa Ndondo Cup wakati walipotembelea benki hiyo ambao ni wadhamini wa mashindano hayo leo Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR
yaani makala yote VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/viongozi-wa-timu-za-ndondo-2018.html
0 Response to "VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR"
Post a Comment