SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME

SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME
kiungo : SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME

soma pia


SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME

Kikosi cha Simba kimeanza mazoezi leo ya kujiandaa na michuano ya KAGAME inayotarajiwa kuanza jijini Dar es Salaam Juni 28 2018.
 
Mazoezi hayo yamefanyika kwenye Uwanja wa White Sand uliopo uliopo jijini Dar es Salaam.Simba wameanza mazoezi ya kwanza baada ya mapumziko mafupi ambayo walipewa kumalizika na sasa wamerejea tena kambini kuanza kujiwinda na mashindano hayo ya CRCAFA. Kuelekea michuano ya KAGAME, inaelezwa baadhi ya nyota wa kikosi hicho ambacho ni bingwa wa msimu huu katika ligi watakosekana ili kuwapa mapumziko.Jonas Mkude na Haruna Niyonzima ni baadhi ya wachezaji walioripotiwa kukosekana kwenye mashindano hayo.


Hivyo makala SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME

yaani makala yote SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/simba-yarejea-kambini-kuanza-kujiwinda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA YAREJEA KAMBINI KUANZA KUJIWINDA NA KAGAME"

Post a Comment