HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA

HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA
kiungo : HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA

soma pia


HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA

*Wazungumzia namna wanavyofanya tafiti, kutoa huduma bora

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
MKUU wa Idara ya Hematolojia, Uwekaji wa Damu na Mtafiti Mkuu wa Program ya Selimundu katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili(MUHAS) Profesa Jullie Makani amesema wapo katika mchakato wa kutoa huduma ya kutibu Selimundu kwa Kupandikiza ute wa Mifupa

Prof.Makani amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Selimundu Duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Mlaganzila ambapo amesema kwa sasa wapo katika mchakato wa mazungumzo na yakikamilika wanatarajia kuanza kutibu Selimundu kwa kutumia tiba ya Kupandikiza Ute wa mifupa kwa mgonjwa.

"Zipo njia mbili zinazotumika kutibu Selimundu.Njia ya kwanza ni kwa kutumia Hydroxyurea na ndio ambayo tunaitumia hapa nchini.Njia ya pili ni ya kutibu kwa kupandikiza ute wa mifupa ambayo kitalaam inafahamika Bone Marrow Transplant,"amefafanua.

Alipoulizwa ni lini wataanza kupandikiza ute wa mifupa kwa mgonjwa wa Selimundu katika hospitali hiyo amejibu wanatarajia kuanza mwakani iwapo mchakato utakwenda vizuri hata.Pia amesema haijafahamika gharama ya kutibu kwa kupandikiza ute wa mifupa itakuwa kiasi gani na ndio mazungumzo ambayo wanaendelea nayo kufanya.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MuHAS) Profesa Appolinary Kamuhabwa akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Ugonjwa wa Seli Mundu yaliyofanyika kwenye Chuo Kikuu hicho Kampasi ya Mloganzila leo na kushirikisha Madaktari Bingwa, Watafiti wa Magonjwa na Tiba mbalimbali na wauguzi, Profesa Kamuhabwa amesema chuo hicho mpaka sasa ina miradi ya utafiti wa magonjwa mbalimbali pamoja na tiba inayofikia 92.
Profesa Julie Makani Mkuu wa Idara ya Hematolojia , Uwekaji wa Damu na Mtafiti Mkuu wa Programu ya Seli Mundu (MuHAS)akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Seli Mundu yaliyofanyika katika Chuo hicho Kampasi ya Moganzila leo.Profesa Julie Makani Mkuu wa Idara ya Hematolojia , Uwekaji wa Damu na Mtafiti Mkuu wa Programu ya Seli Mundu (MuHAS) akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Seli Mundu yaliyofanyika katika Chuo hicho Kampasi ya Moganzila leo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MuHAS) Profesa Appolinary Kamuhabwa katikati ,Profesa Julie Makani Mkuu wa Idara ya Hematolojia , Uwekaji wa Damu na Mtafiti Mkuu wa Programu ya Seli Mundu (MuHAS) kushoto na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Profesa Said Aboud wakifuatilia baadhi ya taarifa za tafiti zilizokuwa zikionyeshwa kwenye Projekta. 
Baadhi ya wataalamu na madaktari mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo. 
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Profesa Said Aboud akitoa shukurani zake wakati wa maadhimisho hayo mara baada ya kutolewa kwa taarifa mbalimbali za kiutafiti katika chuo hicho.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MuHAS) Profesa Appolinary Kamuhabwa katikati ,Profesa Julie Makani Mkuu wa Idara ya Hematolojia , Uwekaji wa Damu na Mtafiti Mkuu wa Programu ya Seli Mundu (MuHAS) kushoto na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Profesa Said Aboud wa pili kutoka kushoto pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Udahili na Uzamivu (MuHAS) Emmanuel Balondya kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Madaktari Bingwa, Wataalam na Watafiti wa chuo hicho.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA

yaani makala yote HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/hospitali-mloganzila-wajiandaa-kutibu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA"

Post a Comment