title : UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA
kiungo : UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA
UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA
Naibu Waziri wa Elimu ya Juu na Ufundi toka nchini Sierra Leone Dk. Turad Senesie (kulia) akiuliza swali kwa Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (hayupo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Ofisi za hazina na ujumbe wake ili kujifunza namna Wizara ya Fedha inavyoweza kutoa fedha kwa ajili ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu. Kushoto ni Wajumbe aliombatana nao toka nchini Sierra Leone.
Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (kulia) akifafanua jambo kwa ujumbe toka nchini Sierra Leone (hawapo pichani) uliokuja nchini kwa lengo la kujifunza namna ya uendeshaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Omega Ngole na kushoto ni Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo Godfrey Chawe.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha toka nchini Sierra Leone, Mathew Dingie (katikati) akiuliza swali kwa Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (hayupo pichani) wakati walipotembelea Ofisi za hazina ili kujifunza namna Wizara ya Fedha inavyoweza kutoa fedha kwa ajili ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu. Kushoto ni Wajumbe aliombatana nao toka nchini Sierra Leone. Kulia ni Naibu Waziri wa Elimu ya Juu na Ufundi toka nchini Sierra Leone Dk. Turad Senesie.
Afisa Msimamizi Mwandamizi wa Fedha toka Wizara ya Fedha,Alexander John (kushoto) akifafanua jambo kwa ujumbe toka nchini Sierra Leone uliokuja nchini kwa lengo la kujifunza namna Wizara ya Fedha inavyoweza kutoa fedha kwa ajili ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.
Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (kulia) akifafanua jambo kwa ujumbe toka nchini Sierra Leone uliokuja nchini kwa lengo la kujifunza namna Wizara ya Fedha inavyoweza kutoa fedha kwa ajili ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.Picha na MAELEZO
Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (mwenye kilemba) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe toka nchini Sierra Leone uliokuja nchini kwa ziara ya kikazi ya kujifunza namna ya uendeshaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.
Hivyo makala UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA
yaani makala yote UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ujumbe-wa-sierra-leone-watembelea.html
0 Response to "UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA"
Post a Comment