MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA

MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA
kiungo : MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA

soma pia


MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA

Na Robert Hokororo, Ofisi ya Mkurugenzi Kishapu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri za wilaya nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu kilimo cha zao la pamba ili kiwe na tija.

Ametoa agizo hilo katika kikao na wadau wa pamba kilichofanyika mjini Shinyanga ambapo alizitaka halmashauri hizo kuratibu shughuli za kilimo hicho kwa kuwapangia ratiba maafisa ugani kuwatembelea wakulima kuwapa elimu.

Akizungumza katika kikao hicho kilichoikutanisha mikoa zaidi ya 10 inayolima pamba aliwataka watendaji wakuu wa halmashauri hizo kuhakikisha kila kata na kijiji kunawepo na maafisa ugani ili wasimamie kikamilifu kilimo.

Majaliwa aliwataka maafisa ugani waliopo katika halmashauri hizo kuwafikia wakulima mashambani ili kuwapa elimu na kutatua changamoto zinazowakabili kuhusu kilimo hususan cha pamba.“Tunataka kuhahakikisha pamba inaleta heshima na inaongeza mapato ya mkulima mmoja mmoja na hata taasisi zetu yaani halmashauri na mikoa zinaingiza mapato kupitia zao la pamba hivyo kila mmoja awajibike,” alisisitiza.

Pia, aliagiza pia ziweke mpango kazi wa namna ya kukiletea mafanikio kilimo hicho huku akisisi kuwa na kwamba atafanya ziara kukagua akisema atataka apewe taarifa ya maendeleo ya kilimo hicho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao na wadau wa pamba kilichofanyika mjini Shinyanga. Wengine picha ni kuanzia kushoto ni Waziri Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na Waziri wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba.
Sehemu ya wakuu wa mikoa inayolima zao pamba wakifuatilia matukio katika kikao cha wadau wa pamba kilichofanyika mjini Shinyanga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati mwenye miwani) akifurahia wimbo na viongozi wengine mara baada ya kuwasili ukumbini kwa ajili ya kikao hicho. Wengine pichani kuanzia kushoto ni Waziri Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, Waziri wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack.

Wakuu wa wilaya za Shinyanga ambazo ndizo miongoni mwa wakulima wa pamba, kuanzia kushoto ni Fadhil Nkurlu (Kahama), Nyabaganga Taraba (Kishapu) na Josephine Matiro (Shinyanga) na kulia pichani Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi wakifuatilia matukio.
Sehemu ya wakuu wa mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akizungumza kwenye kikao cha wadau wa pamba kilichofanyika mjini Shinyanga.



Hivyo makala MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA

yaani makala yote MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/majaliwa-aziagiza-halmashauri-za-wilaya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA PAMBA ILI LIWE NA TIJA"

Post a Comment