title : MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR
kiungo : MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR
MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR
Mlau, Prof. Binamungu akiongoza maandamano kuelekea sehemu ya mahafali.
Baadhi ya wahitimu wa shahada mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo.
Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Lucy Massoi, akiwatambua wanachuo na wahadhiri waliofanya vizuri.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji mstaafu, Barnabas Samatta, akimkabidhi cheti mmoja wa wanachuo aliyefanya vizuri, Gloria Mbigiri wakati wa mahafali ya 16 ya chuo hicho kampasi ya Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji mstaafu, Barnabas Samatta, akimkabidhi cheti mmoja wa wanachuo aliyefanya vizuri, Elihuruma Mabelya wakati wa mahafali ya 16 ya chuo hicho kampasi ya Dar es Salaam.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR
yaani makala yote MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mahafali-ya-16-ya-chuo-kikuu-mzumbe.html
0 Response to "MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR"
Post a Comment