title : SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR
kiungo : SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR
SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR
Naibu Waziri wa Affya Zanzibar Harus Said Suleiman pamoja na Mwakilishi wa WHO Tanzania Dkt. Adiele Onyeze wakitiliana saini makabidhiano ya Dawa na Vifaa Tiba kwaajili ya Wizara ya Afya Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Ngalawa Bububu Zanzibar.
Naibu Waziri wa Affya Zanzibar Harus Said Suleiman akibadilishana hati za makabidhiano ya Dawa na Vifaa Tiba na Mwakilishi wa WHO Tanzania Dkt. Adiele Onyeze katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Ngalawa Bububu Zanzibar.
Naibu Waziri wa Affya Zanzibar Harus Said Suleiman akionesha kifaa cha kuchunguzia maradhi ya EBOLA, ( katikati) ni Mwakilishi wa Tanzania (WHO) Tanzania Dkt. Adiele Onyeze, kushoto Mkurugenzi kinga Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni Tanzania (WHO) Dkt. Adiele Onyeze akizungumza katika hafla ya Makabidhiano ya Dawa na Vifaa Tiba vilivyotolewa na Shirika la Afya Duniani kwa Wizara ya Afya Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Ngalawa Bububu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Dawa na Vifaa Tiba vilivyotolewa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kwa Wizara ya Afya Zanzibar.
Picha na Abdalla Omar Maelezo - Zanzibar.
Hivyo makala SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR
yaani makala yote SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/shirika-la-afya-ulimwenguni-who-latoa.html
0 Response to "SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI (WHO) LATOA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR"
Post a Comment