title : WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU
kiungo : WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU
WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Julai 13, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack .
Baadhi ya Watumishi na Viongozi wa vyama vya Siasa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Julai 13, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Julai 13, 2018. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Joseph Kakunda na wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU
yaani makala yote WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-azungumza-na-watumishi-wa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU"
Post a Comment