Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo

Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo
kiungo : Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo

soma pia


Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (kulia) akisoama taarifa ya utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018  katika kikao Uongozi wa Wizara hiyo   kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais  masuala ya Utamaduni na Utalii Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni(kushoto), [Picha na Ikulu.]29/06/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]29/06/2018. 
 Mshauri wa Rais  Masuala ya Utamaduni na Utalii Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni(kulia)alipokuwa akichangia katika kikao cha Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo cha  Utekelezaji wa Mpango kazi  wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018  kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe,Mohamed Ramia Abdiwawa. [Picha na Ikulu.]29/06/2018. 
 Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Ali Abeid Karume (katikati) akisoma muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi  wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018 katika kikao cha siku moja cha Uongozi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Lulu Msham Abdalla(kushoto),[Picha na Ikulu.]29/06/2018. 




Hivyo makala Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo

yaani makala yote Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rais-dk-shein-azungumza-na-uongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo"

Post a Comment