MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N
kiungo : MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N

soma pia


MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N

Mwambawahabari 
Mwenge wa Uhuru leo umeendelea na mbio zake katika mkoa  wa Dar es Salaam ambapo leo umeingia katika Wilaya ya Ubungo  na unatarajiwa kuzindua na kukagua miradi saba ya maendeleo.

Akizungumza  baada ya kupokea Mwenge wa Uhuru mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori amesema Mwenge utazindu miradi sita, miradi mitatu ni ya kuweka jiwe la msingi, miradi mitatu ni kuzindua na mradi na mradi mmoja ni wa kutembelea najumla ya miradi yote  inathamani ya shilingi billion 1. 2.


Kwaupande wake kiongozi wa mbiyo za Mwenge mwaka 2018 Charles Kabeho amesisitiza wananchi kuwa pamoja na serikali kutoa elimu bure kwa shule za selikali Wazazi wanapaswa kutimiza wajibu wao  kwa kuwanunulia madafutari na sale za shule  watoto wao na kuona namna ya kuwapatia chakula shuleni ili waweze kusoma vizuri.

Aidha akiendelea kueleza kuhusu ujumbe wa mbio za Mwenge amewataka wananchi wa Ubungo kuchukua tahadhali ya ugonjwa wa UKIMWI, Maralia, mapambano dhidi ya rushwa, na madawati ya kulevya ambayo yanapunguza kwa kiasi kikubwa nguvu kazi kwa taifa.

Aidha ametoa agizo kwa Manispaa ya Ubungo ikiwahaijakamilisha ujenzi wa Maabara tatu za masomo ya Kemia, Bailojia na Fizikia kukamilisha  haraka ili wanafunzi waweze kusoma kwa vitendo masomo ya Sayansi.

Pamoja na hayo  Kabeho amesema, serikali imetoa agizo kwa bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa watoto wa masikini wasio weza kugharamia masomo ya chuo Kikuu na kuwataka ambao wanauwezo kujilipia wenyewe ili kuweka  usawa. 



Hivyo makala MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N

yaani makala yote MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mwenge-wa-uhuru-wazindua-miradi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIO 1.2.N"

Post a Comment