title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akiongoza kikao cha bunge mjini Dodoma Aprili 10, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2018/2019 bungeni mjini Dodoma , Aprili10, 2018.
Waziri, wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt, Harrison Mwayembe akteta na Naibu wake, Juliana Shonza, bungeni mjini Dodoma Aprili10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Mawaziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Ikupa Alex (kushoto) na Antony Mavunde wakiteta bungeni mjini Dodoma, Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Ikupa Alex akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde wakishangilia bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/yaliyojiri-leo-bungeni-mjini-dodoma.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA"
Post a Comment