TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA

TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA
kiungo : TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA

soma pia


TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imesema katika kipindi cha miezi 9 ya mwaka wa fedha 2017/2018 kuanzia Julai 2017 hadi Machi mwaka huu wamekusanya Sh.Trilioni 11.78.

Akizungumza Dar es Salaam leo ,Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA Richard Kayombo amesema makusanyo hayo yameongezeka ikilinganishwa na Sh.Trilioni 10.86 zilizokusanywa kipindi kama hicho cha mwaka wa fedha was 2016/17.Kiasi hicho in sawa na ukuaji wa asilimia 8.46.

"Katika Machi mwaka 2018 pekee TRA imekusanya jumla ya Sh.Trilioni 1.54 ikilinganishwa na makusanyo ya Machi mwaka 2017 ambapo ilikusanywa Sh.Trilioni 1.34 ambayo ni sawa na ukuaji wa asilimia 14.49," amesema Kayombo.

Amefafanua kufanikiwa Katika makusanyo hayo yametokana na walipa kodi ,viongozi wa ngazi zote na wananchi pamoja na kampeni kadhaa tunazofanya ikiwamo ya usajili wa walipa kodi nchi nzima.

Pia TRA inaendelea kuwakumbusha walipa kodi kulipa kodi kwa wakati ,kusikiliza malalamiko pamoja na kuweka utaratibu mzuri wa kulipa madeni ya nyuma.

Amefafanua kipindi hiki wanaendelea na usajili wa walipakodi wapya wakiwemo wamachinga ambapo kwa wiki hii wapo mkoa wa Geita.

"Tunawakarabisha wafanyabiashara wa mkoa wa Geita kujitokeza kusajiliwa na kupata namba ya utambulisho ya mlipakodi (TIN) na pia kutoa kero zao kwa maofisa wa mamlaka ili wasikilizwe na kuhudumiwa.

"Pia nachukua fursa hii kuwakumbusha wananchi Aprili hadi Juni ni robo ya mwisho ya mwaka wa fedha 2017/2018 kwa hiyo walipe kodi ya majengo ambayo kwa sasa unaweza kulipa kwa njia ya mtandao kwa kutumia simu ya mkononi kwa kupiga *152*00# na kufuata maelekezo,"amesema Kayombo.

Amesema wanaendelea kutoa elimu ili kila anayestahili alipe kodi kwa hiari na kwa wakati na mwenye malalamiko yoyote ya makadirio amuone meneja wa eneo husika na vilelezo vyote.


Hivyo makala TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA

yaani makala yote TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/tra-yakusanya-trilioni-1178-ndani-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA"

Post a Comment