MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA

MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA
kiungo : MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA

soma pia


MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ametoa siku saba kwa wawekezaji wa kiwanda cha nyama Shinyanga cha Kampuni ya Triple S Beef Limited na Agri Vision kuwasilisha hati zote za umiliki hati ya eneo la kiwanda na eneo la kuhifadhia mifugo baadha ya kushindwa kukiendeleza kwa miaka 11.

Akizungumza katika kiwanda hicho leo Mpina amuagiza Mkurugenzi wa Ubinafsishaji na Ufuatiliaji Jones Mwalemba kutoka Hazina kuhakikisha kwamba ifikapo Juni 30 mwaka huu kiwanda hicho kiwe kimempata mwekezaji ambaye ataanza kazi mara moja ya uchinjaji ili kutoa ajira na kuliingizia taifa mapato.

Aidha amemuagiza Msajili wa Hazina kuanza uhakiki wa mali zote za kiwanda hicho baada ya kubainika wizi uliokithiri katika kiwanda hicho. 

Pia Mpina ameamuru mmliki wa Kampuni inayolinda kiwanda hicho kukamatwa mara moja na kufikishwa katika mikono ya sheria kwa ajili ya kujibu mashitaka wa wizi wa mali za kiwanda hicho ambapo amemtaka Mkuu wa Mkoa kuhakikisha kuanzia sasa kiwanda hicho kilindwe na vyombo vya Serikali badala ya makampuni binafsi.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akiangalia moja ya sehemu ya jengo la Kiwanda cha nyama cha Shinyanga iliyoharibiwa na kutolewa mabomba ambapo pia vitasa vya mlango vimetolewa alipofanya ziara ya kushitukiza katika kiwanda hicho leo. (Picha na John Mapepele)Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina(Mwenye Miwani) akioneshwa eneo la kiwanda cha nyama Shinyanga na Mkurugenzi wa Ubinafsishaji na Ufuatiliaji kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina Jones Mwalemba(aliyenyoosha mkono) Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Asimwe Lovince kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Wilaya a shinyanga wa CCM. (Picha na John Mapepele)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga ( Mwenye Miwani) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Abubakari Mkadamu akivunja kufuli la mlango mkuu wa kuingilia katika kiwanda cha nyama Shinyanga mara baada ya waziri Mpina kufanya ziara ya kushitukiza katika kiwanda hicho. (Picha na John Mapepele)Na John Mapepele, Shinyanga 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA

yaani makala yote MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mpina-afufua-kiwanda-cha-nyama-shinganya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA"

Post a Comment