UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI

UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI
kiungo : UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI

soma pia


UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI


Mmoja wa Wakazi wa Dar es Salaam ambaye alikuwa akivuna chupa za maji taka zilizojaa katika Daraja la Mto Msimbazi ambapo imeonesha kuwa uharibifu wa Mazingira na utupaji  taka hovyo umekithiri katika bonde la mto Msimbazi kumechangia kuziba kwa mifereji mingi inayopitisha maji kwenda baharini.
Vijana wa jiji la Dar es Salaam wakiokota machupa katika bonde la mto Msimbazi mara baada ya machupa hayo kuletwa na maji ya mvua yaliyofurika kuja na takatka hizo
Sehemu ya takataka zilizojaa katikati ya Barabara ya Morogoro ambazo zimeletwa na maji ya mvua yaliyotapishwa kutoka mto Msimbazi.
Mmoja wa wa kazi wa Jiji akiwa amejitwika mzigo wake katika bonde la jangwani mara baada ya kuokot katika bonde la mto Msimbazi
Bibi wa makamo akiwa amejibanza katika kituo cha mabasi ya yaendayo haraka mala baada ya makazi yake kusombwa na maji katika eneo la Jangwani.

Muendesha baiskeli ya Magurudumu matatu akijaribu kiunua baiskeli mara baada ya kuteleza katikati ya barabra ya Morogoro ambapo tope limetanda mara baada ya tope kutapika kwenye mwendokasi


Hivyo makala UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI

yaani makala yote UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/uharibifu-wa-mazingira-ulivyochangia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI"

Post a Comment