Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga

Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga
kiungo : Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga

soma pia


Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga

Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga

Mgombea urais wa Kenya kupitia chama tawala cha Jubilee Uhuru Kenyatta, ametaka kufutwa kwa kampeni ya kuondoa Jaji Mkuu wa nchi hiyo David Maraga, iliyoanzishwa na mbunge wa chama hicho.

Uhuru Kenyatta amesema ni vyema kuacha Mahakama ifanye kazi zake na wao kuangalia zaidi kwenye uchaguzi wa urais unaofuatia ili kutetea nafasi ya chama hicho kubaki madarakani.

"Tumekubaliana kurudi kwa wapiga kura na masanduku ya kupigia kura, naelewa maumivu yenu na matendo yenu, lakini tuna uchaguzi wa kushinda Oktoba 17, hilo ndio linatakiwa liwe kipaumbele chetu, iacheni mahakama", amesema Uhuru Kenyatta.

Hapo jana mbunge wa chama cha Jubilee Ngunjiri Wambugu alianzisha kampeni ya kumuondoa madarakani Jaji Mkuu wa nchi hiyo David Maraga, kutokana na kile alichokiita utendaji mbaya baada ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais nchini humo Septemba 1 mwaka huu, na kutaka urudiwe.


Hivyo makala Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga

yaani makala yote Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kenyatta-ametaka-kufutwa-kwa-kampeni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kenyatta Ametaka Kufutwa kwa Kampeni ya Kumuondoa Jaji Mkuu Maraga"

Post a Comment