title : POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA
kiungo : POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA
POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA
mwambawahabari
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Lazaro Mambosasa akizungumza na wandishi wa habari Leo jijini dar es salaam
makamu Mwenyekiti wa bavicha kitaifa Patrick Sosopi akizungumza na wandishi wa habari mapema Leo jijini dar es salaam
Baraza la vijana chadema (Bavicha) limesema kuwa litafanya ibada ya maombezi ya kitaifa siku ya jumapili katika maeneo ya Sinza darajani yakiwa na lengo la kumuombea Lissu na watu wengine ambao walishawahi kupata kadhia kama hiyo
Akizungumza na wandishi wa habari Leo jijini dar es salaam makamu Mwenyekiti wa bavicha kitaifa Patrick Sosopi amesema kuwa wao hawakwendi kufanya siasa Bali wataenda kufanya maombi yatakayojumuisha dini
Aidha amesema kuwa
Kwa Upande wake Jeshi la polisi kanda maalimu ya dar es salaam limesema halitaruhusu maombi ambayo yalipangwa kufanyika siku ya jumapili na vijana wa chadema (bavicha) na Yale maandamo ya cuf siku ya jumatatu huku wakizuia kusanyiko lolote lile la kimaombi la na badala yake watumie nyumba za ibada kufanya hivyo ikiwemo msikiti au Kanisa vinginevyo itahesabika ni mkusanyiko na hatua zitachukuliwa.
Awali akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema Majambazi watatu wameuawa Mara baada ya kujeruhiwa wakati wakikimbizwa hospitali ya taifa Muhimbili ili kupatiwa matibabu,
na askari walianza kufyatua risasi kuwashambulia askari na ndipo askari walijibu mashambulizi na kufanikiwa kuwajeruhi majambazi watatu kati ya watano huku wengine wawili wakikimbia.
Aidha Mambosasa amesema kuwa wamefanikiwa kukamata silaha moja bastola aina ya BERRETA yenye namba A065775Z ikiwa na risasi tano ndani ya magazine katika majibizano ya risasi kati ya askari polisi na majambazi wapatao watano(05)
Hivyo makala POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA
yaani makala yote POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/polisi-dar-wazuia-maombi-ya-vijana-wa.html
0 Response to "POLISI DAR WAZUIA MAOMBI YA VIJANA WA CHADEMA"
Post a Comment