title : Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine
kiungo : Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine
Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine
Zari Ameamua Kufanya ile inayoitwa Mwaga ugali na mie nimwage Mboga, Baada ya tetesi kuwa Diamond alikuwa Zanzibar na Mrembo Dillish.....Leo amekuwa bize kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha kuwa nae ana mtu wake mwingine zaidi ya Diamond ambae wameenda nae Kidate, Mchana alipost picha hiyo hapo chini yenye Caption "Lunch Date" na jioni hii ndio akamalizea kabisa na Picha inayoonyesha Class mbili na kinywaji ikiwa na maana kuwa yupo somewhere na someone special
Hivyo makala Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine
yaani makala yote Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/zari-naye-ajibu-mapigoaposti-picha.html
0 Response to "Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine"
Post a Comment