title : TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO.
kiungo : TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO.
TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kwa mwaka wa fedha 2018/2019 mapema leo Bungeni mjini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu mapema leo Bungeni mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mery Mwanjelwa akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa wakulima wa Korosho wanapata malipo yao kwa wakati mara baada yakuuza zao hilo.
Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba akisisitiza jambo Bungeni mapema leo wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu mapema leo Bungeni mjini Dodoma
(Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma)
Hivyo makala TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO.
yaani makala yote TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/tazama-matukio-katika-picha-bungeni-leo.html
0 Response to "TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO."
Post a Comment