RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA
kiungo : RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

soma pia


RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
 Sehemu ya Wananchi waliofika kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telak wakwanza kushoto, wabunge wa mkoa wa Shinyanga pamoja na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohamia kutoka vyama vya Upinzani.
 Sehemu ya Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masumbwe Mbogwe mkoani Geita wakati akielekea Kahama mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-magufuli-afungua-barabara-ya-isaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA"

Post a Comment