title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Naibu Kamishna wa Magereza, Gideon Nkana alipowasili kwenye hafla ya kufunga mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017(kushoto) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokea salaam ya heshima kutoka kwa gwaride maalum katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akikagua gwaride maalum katika hafla fupi ya ya kufunga mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akikagua Gadi ya wahitimu wa mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017.
Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kamishna-jenerali-wa-magereza-dkt-juma.html
0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR"
Post a Comment