title : MAMA MERY MAJALIWA ATAKA WAZAZI KUWASOMESHA KWA BIDII WATOTO WA KIKE
kiungo : MAMA MERY MAJALIWA ATAKA WAZAZI KUWASOMESHA KWA BIDII WATOTO WA KIKE
MAMA MERY MAJALIWA ATAKA WAZAZI KUWASOMESHA KWA BIDII WATOTO WA KIKE
Mke wa Waziri Mkuu Mery Majaliwa ametoa Wito kwa Wazizi kupeleka Watoto wa Kikeke Shule ametoa wito huo katika mkutano wa hadhara Uliofanyika Kiwanja cha Michezo wilaya ya Liwale July 10, 2017 ,Mama majaliwa ameongozana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ziara ya kikazi ya siku Nne Mkoani Lindi.Pcha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Dawa zilizopo katika Stoo ya Dawa Hospital ya Wilaya ya Liwale July 10, 2017 ,kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Wilaya ya Ruangwa(CUF) Zuberi Kichauka na kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dr Maulid Majala, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo katika ziara ya kikazi ya siku Nne Mkoani Lindi
Hivyo makala MAMA MERY MAJALIWA ATAKA WAZAZI KUWASOMESHA KWA BIDII WATOTO WA KIKE
yaani makala yote MAMA MERY MAJALIWA ATAKA WAZAZI KUWASOMESHA KWA BIDII WATOTO WA KIKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA MERY MAJALIWA ATAKA WAZAZI KUWASOMESHA KWA BIDII WATOTO WA KIKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mama-mery-majaliwa-ataka-wazazi.html
0 Response to "MAMA MERY MAJALIWA ATAKA WAZAZI KUWASOMESHA KWA BIDII WATOTO WA KIKE"
Post a Comment