NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA
kiungo : NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA

soma pia


NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki akizungumza wakati akifungua warsha iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa wadau wa Mikoa ya Kanda ya Kati kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016 iliyofanyika mjini Dodoma leo. 
Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Ezeckiel Mwakalukwa akizungumza katika warsha iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa wadau wa Mikoa ya Kanda ya Kati kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016 iliyofanyika mjini Dodoma leo. 
 Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (kushoto) akipokea vitabu vya Sera ya Taifa ya Misitu ya mwaka 1998 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mpingo Conservation Initiatives, Makala Jasper ambao wamesaidia kuchapisha nakala 1304 za sera hiyo kwa ajili ya kusaidia zoezi linaloendelea la kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya Mwaka 2016 katika warsha iliyoandaliwa na Wizara hiyo mjini Dodoma leo. Kulia anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Dkt. Ezeckiel Mwakalukwa.
 Baadhi wa watumishi wa Wizara ya Maliasili na wadau wa sekta ya Misitu na Nyuki wakiwa kwenye warsha iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016, mjini Dodoma leo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA

yaani makala yote NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/naibu-katibu-mkuu-wizara-ya-maliasili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA KUBORESHA RASIMU YA SERA MPYA YA MISITU YA MWAKA 2016 KWA WAKAZI WA MIKOA YA KANDA YA KATI MJINI DODOMA"

Post a Comment