title : JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA
kiungo : JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA
JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akiapa mbele ya Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (kulia), akipokea hati ya kiapo kutoka kwa Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari, ambayo inamuwezesha kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi
Kamishna wa Uhamiaji, Edward Chogero (kulia), akipokea hati ya kiapo kutoka kwa Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari, ambayo inamuwezesha kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi
Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari,akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro(kulia) na Kamishna wa Uhamiaji,Edward Chogero (kulia), baada ya kuwaapisha kuwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza.Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.Picha na Jeshi la Polisi
Hivyo makala JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA
yaani makala yote JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/jaji-kiongozi-awaapisha-igp-sirro-na.html
0 Response to "JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA POLISI NA MAGEREZA"
Post a Comment