Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja

Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja
kiungo : Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja

soma pia


Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja

MREMBO atakayeibuka mshindi wa shindano la urembo la Miss Dar  Zone2018 anatarajiwa kupewa zawadi ya kiwanja imeelezwa.

Akizungumza na waandishi wa habari  mapema leo jijini Dar, Mratibu wa shindano hilo, Khalid Ngulume, alisema kuwa wamekuja kivingine msimu wa shindano la Miss Tanzania 2018 ,kutokana na ujio mpya wa shindano hilo na wao kama kanda wameamua kuweka zawadi ya tofauti.

"Zawadi hii ya kiwanja tutatoa kwa mshindi wa kwanza na wa pili, lakini kwa mshindi wa kwanza atapata zawadi nyingine tofauti," alisema Ngulume.Aidha, alisema kuwa kwa kufuata taratibu zilizopo, leo mchana wamepeleka  nyaraka za zawadi hizo kwa Barazaa la Sanaa Taifa (Basata) kama kanuni inavyotaka.

Aidha, alisema katika shindano hilo litakalofanyika Agosti 3 kwenye ukumbi wa Next Door Arena, wasanii Papi Kocha na Nandi wanatarajiwa kutoa burudani."Bado tupo kwenye mazungumzo na wasanii wengine kuona wanatoa burudani, lakini pia kwenye zawadi tutatoa zawadi kwa washiriki wote kama asante kwa kushiriki," alisema Ngulume.

Alisema warembo wote 27 wanaoshiriki shindano hilo Julai 29 wataingia kambini kujiandaa na shindano hilo.

Shindano hilo linadhaminiwa na  Manukato ya marcelina.

Washindi watatu wa shindano hilo watakata tiketi ya kushiriki shindano la taifa la Miss Tanzania.
Washiriki wa shindano la  urembo la Miss Dar  Zone 2018 ,wapatao 27 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na kilele cha shindano hilo hapo Agosti 3, 2018 jijini Dar
Pichani kati ni  Mratibu wa shindano hilo, Khalid Ngulume, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar, kuhusu maandalizi ya shindano la Miss Dar zone 2018  linalotarajia kufanyika Agosti 3,katika ukumbi wa Next Door Arena,ambapo wasanii Papi Kocha na Nandi wanatarajiwa kutumbuiza,kulia ni Mmoja wa Wadhamini wa shindano hilo Matilda Marlon kupitia Manukato ya marcelina na kushoto ni Tahia Yusuph.
Walimbwenda hao wakiwa katika picha ya pamoja.


Hivyo makala Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja

yaani makala yote Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/miss-dar-zone-2018-kufanyika-agosti.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Miss Dar zone 2018 kufanyika Agosti 3,Mshindi kupewa kiwanja"

Post a Comment