title : RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI
kiungo : RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI
RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI
Rais wa Uswisi Mhe. Alain Berset akipkelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Jumatano usiku wakati akijiandaa kuondoka kurudi nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake binafsi ambapo alitembelea hifadhi za Taifa na Zanzibar kwa muda wa wiki mbili akiwa pamoja na familia yake.
Rais wa Uswisi Mhe. Alain Berset akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Jumatano usiku wakati akijiandaa kuondoka kurudi nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake binafsi ambapo alitembelea hifadhi za Taifa na Zanzibar kwa muda wa wiki mbili akiwa pamoja na familia yake. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI
yaani makala yote RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-wa-uswisi-aondoka-mara-baada-ya.html
0 Response to "RAIS WA USWISI AONDOKA MARA BAADA YA MAPUMZIKO YAKE NCHINI"
Post a Comment