Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza

Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza
kiungo : Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza

soma pia


Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza


Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Doroth Gwajima akimkabidhi tuzo ya kushika nafasi ya kwanza katika utendaji kazi bora wa kutoa huduma kwa wagonjwa kwa Kurugenzi ya Tiba Shirikishi Kaimu Mkurugenzi wa Idara hiyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Delila Kimambo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza washindi iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Prof. Mohamed Janabi.
Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Doroth Gwajima akimkabidhi tuzo ya kushika nafasi ya kwanza katika kuwezesha utendaji kazi bora wa kutoa huduma kwa wagonjwa kwa Kurugenzi ya Uuguzi Kaimu Mkurugenzi wa Idara hiyo Robert Mallya wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza washindi iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Prof. Mohamed Janabi.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) akielezea kuhusu kazi zilizofanywa na Taasisi hiyo kwa mwaka 2018 katika kikao cha wafanyakazi na viongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo uliopo Jijini Dar es Salaam. Picha na Brighton James -JKCI


Hivyo makala Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza

yaani makala yote Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kurugenzi-ya-tiba-shirikishi-ya-taasisi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza"

Post a Comment