title : UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA?
kiungo : UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA?
UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA?
Kama kawaida maneno kama “kinuklia” au “mionzi” yanatisha ikiwa yanatumika katika nyanja za afya na maisha marefu. Hata hivyo, haiwezekani kufikiria utibabu za siku hizi bila ya teknolojia mpya inayotumia radioisotopu za kinuklia.
Duniani watu wanajua juu ya utumiaji wa mionzi na radioisotopu katika utibabu hasa kwa ajili ya utambuzi na utibabu ya magonjwa magumu mbali mbali. Katika nchi zilizoendelea, ambapo robo ya watu wote wa dunia wanaishi, mtu mmoja wa watu watano anatumia utibabu za utambuzi za kinuklia kila mwaka.
Lakini swali muhimu ni vipi dawa za kinuklia na radioisotopu (dawa zenye mionzi) zinafanya kazi na vipi zinaweza kuleta faida kwa Watanzania?
Kwanza, mionzi ni ufungaji wa nishati tu. Kama taa ya mwanga atomu za mionzi zinazalisha nishati inayotumika kwa ajili ya utibabu. Dawa za mionzi zinaingizwa katika mwili wa mgonjwa na sindano, kwa kumeza au kwa kuvuta pumzi.Ukubwa wa mionzi unaotumiwa ni mdogo sana. Mwilini radioisotopu zinatoa vyembe fupi (alpha au beta) ambavyo vinapoteza nishati yao yote katika umbali mfupi sana, kwa hivyo vinaathiri sana seli zilizoharibiwa. Kwa ujumla dawa za mionzi zinatumika kama matibabu: uharibifu wa seli za kansa, upungufu wa maumivu ya kansa ya mifupa na arthritis.
Kwa kutumia technolojia hizi za kinuklia wataalamu wa matibabu wanaweza kutambua na kutiba magonjwa mengi mbali mbali kwa njia salama na bila ya maumivu. Matibabu ya kinuklia yanawawezesha wataalamu kutambua kwa usahihi habarimbali mbali za afya ambazo hazipatikani kwa njia nyingine, zinahitaji upasaji au utumiaji wa kupima nyingine. Taratibu hizo zinatambua ukosefu ambapo ugonjwa unaendelea – mapema zaidi sana kabla ya testi za kawaida zinaweza kuutambua. Utambuzi mapema huo unawawezesha madaktari kuanza matibabu mapema zaidi, kwa hivyo tangazo zuri linawezekana.
Matibabu ya kinuklia inaweza kutambua magonjwa mengi mbali mbali. Yanatumika kwa kutambua mwilini vidonda visivyo vya kawaida bila ya upasuaji. Taratibu hizo pia zinapatia madaktari nafasi ya kutambua viungo vya mwili vikifanya kazi ipasavyo. Kwa mfano, matibabu ya kinuklia inaweza kutambua moyo ikipampu damu ipasavyo na bongo ikipata damu ya kutosha na kadhalika.
Utumiaji wa matibabu ya kinuklia si kitu kipya kabisa kwa Tanzania. Kwa kutumia teknolojia za kinuklia katika utibabu madaktari wenyeji wanafaulu zaidi katika utoaji wa utibabu mzuri kwa watu wenye magonjwa magumu kama kansa au magonjwa ya moyo na damu.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA?
yaani makala yote UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA? mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/utumiaji-wa-isotopu-za-kinuklia-katika.html
0 Response to "UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA?"
Post a Comment