PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE

PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE
kiungo : PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE

soma pia


PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE

Picha za Utupu za Witness Zampa Kigugumizi Ochu

Baada ya msanii wa Bongo Flava, Witness ‘Kibonge Mwepesi’ kuachia picha zenye utata/utupu katika mitandao ya kijamii mpenzi Ochu Shaggy ameshindwa kunyoosha maelezo kuhusu picha hizo kwa kudai hajawahi kuziona.

Muimbaji huyo amesema kuwa huwa hapendi kufuatilia anachoweka mpenzi wake katika mitandao na ndio sababu ya kutojua hilo ingawa wapo pamoja.

“Nimeziona kwa bahati mbaya, sipendi kuingia kwenye akaunti yake kuangalia ameposti nini, natamani ningeweza kuwaambia watu msiwe mnanitag na bahati nzuri wakati anaposti hizo picha sikuwa online karibu siku tatu na sikujua hata wakati anapiga hizo picha na anaposti,” amesema.

“Huwezi kuamini, kwanza sioni cha ajabu sana sijui kwa sababu namjua. Nikiingia Instagrama nashughulika na michogo yangu ya biashara ama stori zangu zinazohusiana na muziki,” ameongeza.


Mwaka jana Witness  pamoja na Ochu Shaggy waliachia wimbo ‘Sharifa’ ukiwa ni maalum kwa ajili ya kupinga mimba za utotoni.


Hivyo makala PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE

yaani makala yote PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/picha-za-nusu-uchi-za-witness-zampa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PICHA ZA NUSU UCHI ZA WITNESS ZAMPA KIGUGUMIZI MPENZI WAKE"

Post a Comment