title : TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA
kiungo : TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA
TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA
Mwanasiasa maarufu nchini, Tambwe Hizza amefariki Dunia leo alfajiri nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, jijini Dar es salaam.
Inaelezwa kuwa Marehemu Tambwe Hizza amefikwa na mauti hayo akiwa usingizini, kwani jana mpaka usiku alionekana kuwa mzima na hana dalili zozote za kuumwa.
Taarifa za msiba huu zimethibitishwa na Msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tumaini Makene.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu, Hizza huko Mbagala Kizuiani, Jijini Dar es salaam.
Mungu ailaze mahapa pema roho ya Marehemu Tambwe Hizza - Amen.
Hivyo makala TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/tanzia-mwanasiasa-tambwe-hizza-afariki.html
0 Response to "TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA"
Post a Comment