MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA

MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA
kiungo : MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA

soma pia


MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA



Msanii Dogo Janja ambaye hivi karibuni amekumbwa na tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji wa filamu bongo aliyemzidi umri Irene uwoya, na kuweka wazi sababu za kuweza kufanya hivyo.

Dogo Janja amesema kuwa na mahusiano na wanawake waliomzidi umri kwanza ni sunna kwa imani ya dini yake ya Kiislam, lakini pia wanawake wakubwa wanatulia kwenye mahusiano, tofauti na wasichana wadogo ambao wanakuwa wasumbufu.

"Cha kwanza ni sunna, cha pili watoto pasua kichwa, ukiwa na mtu ambaye amekuzidi umri anaweza kukuongoza, siyo unakuwa na mwanamke anajua kuendesha gari halafu hajui kupika wali, unakuwa na mtu ameshakuwa na uzoefu wa maisha, kwa hiyo anataka kutulia", alisema Dogo Janja

Pamoja na kauli hiyo Dogo Janja amekanusha tetesi za kuwa na mahuisano na Uwoya, huku akiwataka mashabiki wake kufuatilia zaidi kazi zake ambapo sasa ana kazi mpya ya Ngarenaro, na sio kufuatilia skendo zake.


Hivyo makala MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA

yaani makala yote MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mbongo-flava-dogo-janja-amkana-irine.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBONGO FLAVA DOGO JANJA AMKANA IRINE UWOYA"

Post a Comment