title : MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura (kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Seleman Jaffo (kulia) wakifuatilia kipindi cha Maswali na Majibu wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba wakati wa kikao cha pili cha Bunge la Nane leo Mjini Dodoma.
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/matukio-mbalimbali-kutoka-bungeni-mjini_6.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO"
Post a Comment