title : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar
Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar
r
RAIS wa Chama cha Mawakili Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Vitabu vya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katika picha ya pampja baada ya kuhitimisha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar. Picha na Ikulu.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/rais-wa-zanzibar-dk-shein-ahutubia-siku.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar"
Post a Comment