title : Zoeza la Uhakiki wa Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.
kiungo : Zoeza la Uhakiki wa Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.
Zoeza la Uhakiki wa Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.
WASTAFU wakiwasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kilimani kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki na Maofisa wa ZSSF kwa ajili ya malipo ya Pensheni kupitia Mfuko huo
AFISA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Omar Nassib, akimfanyia Uhakiki Mstaafu Suleiman Said Suleiman, wakati wa zoezi la kuhakiki Wastaaf wanaopokelea Penshini zao ZSSF, zoezi hilo limefanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Kilimani Zanzibar
AFISA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Omar Nassib, akimfanyika uhakiki Mstaaf anayepokelea Pensheni yake ZSSF Ndg. Ramadhan Ali Ramadhan, wakati wa zoezi la kuwahakiki Wastaaf wanaopokelea Pensheni zao ZSSF Zanzibar, zoezi hilo limefanyika katika Makao Makuu wa Mfuko huo Kilimani Zanziba
Hivyo makala Zoeza la Uhakiki wa Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.
yaani makala yote Zoeza la Uhakiki wa Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zoeza la Uhakiki wa Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/zoeza-la-uhakiki-wa-wastaaf.html
0 Response to "Zoeza la Uhakiki wa Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF."
Post a Comment