title : Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya sabasaba
kiungo : Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya sabasaba
Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya sabasaba
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii,
Msemaji wa Idara ya Uhamiaji , Ally Mtanda ameainisha sifa za kuweza kupata hati ya kusafiria kwa njia ya kieletroniki.
Akizungumza na Michuzi Blog katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 ndani ya Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba).Mtanda amesema sifa za muombaji pasipoti lazima adhibitishe uraia wake pamoja na safari yake kuwasilisha nyaraka za viambatanisho mbalimbali.
Amesema kuwa viambatanisho hivyo cheti/Kiapo cha kuzaliwa muomabji au cheti cha uraia ,Cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi au ushahidi wa mmoja wa wazazi.
Mtanda amesema namna ya kujaza fomu katika mfumo wa kielektroniki ni kuingia katika tovuti ya idara hiyo ambayo ni www.immigration.go.tz.
Msemaji wa Idara ya Uhamiaji , Ally Mtanda akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la Idara ya Uhamiaji Uhamiaji katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba).

Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji , Neema Mwakilembe akitoa maelezo namna ya kupata hati ya kusafiria kwa njia ya kielektroniki kwa wananchi waliotembelea banda la Uhamiaji katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba).
Hivyo makala Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya sabasaba
yaani makala yote Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya sabasaba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya sabasaba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/sifa-za-uombaji-wa-pasipoti-mpya.html
0 Response to "Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya sabasaba"
Post a Comment