title : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 31 WA AU CHINI MAURITANIA LEO
kiungo : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 31 WA AU CHINI MAURITANIA LEO
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 31 WA AU CHINI MAURITANIA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa mkutano tayari kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) katika mji Nouakchott, Mauritania ambako anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Stephen Masele (MB) wakati ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) katika mjiNouakchott, Mauritania Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 31 WA AU CHINI MAURITANIA LEO
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 31 WA AU CHINI MAURITANIA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 31 WA AU CHINI MAURITANIA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-ahudhuria-ufunguzi-wa.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 31 WA AU CHINI MAURITANIA LEO"
Post a Comment