MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN

MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN
kiungo : MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN

soma pia


MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN


Mwambawahabari
Uongozi wa Wilaya ya Ubungo umetoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu  Akwilina Akwilin  wakati ulipodhuru nyumbani kwa mlezi wa marehemu  Mbezi  Jijini Dar es Salaam.

Akiwa nyumbani kwa marehemu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe  Kisare Makori  akiambatana na Mkurugenzi wa Manispaa Ndg  John L.Kayombo  kwa pamoja wakiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe *Dr Khamis Kigwangala

Wamesema Wilaya ya Ubungo na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ujumla imeguswa na kusikitishwa na kifo cha ghafla cha mwanafunzi huyo ambaye ndoto zake zimezimika na pengine taaluma yake ingelisaidia Taifa hili kwa siku za usoni kwa kweli ni masikitiko Makubwa.

"Naye Mkuu wa Wilaya ya Ubungo amesema nikiwa kiongozi wa Serikali katika Wilaya hii nipo hapa kuhakikisha yale yote ambayo Serikali imehaidi kufuatia kifo hiki hadi maziko ya Marehemu yanatekelezwa" Alisema  Kisare Makori

Sisi sote tu wasafiri, Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Imetolewa na :Kitengo Cha Habari na Uhusiano
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.


Hivyo makala MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN

yaani makala yote MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/manispaa-ya-ubungo-wamlilia-akwillina.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MANISPAA YA UBUNGO WAMLILIA AKWILLINA AKWILLIN"

Post a Comment