BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO
kiungo : BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

soma pia


BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

Fatilia bei za matunda mbalimbali katika masoko ya jiji la Dar es Salaam kwa kuanzia Soko la Mabibo .
 Baadhi ya wanunuzi na wauzaji katika soko hilo wakiwa katika pilikapilika sehemu ya ushushaji ndizi katika mikoa mbalimbali.
 Bei ya Ndizi inauzwa katika sokoni hapo inauzwa kati ya Sh.15000 hadi Sh.25000 kwa mkungu.
 Bei ya Parachichi ni kati ya Sh.200 hadi Sh.700.
 Bei ya Passion kwa kilogram moja ni sh. 2000. 
 Bei ya tikiti kati ya sh. 1000 hadi 3000 katika soko la Mabibo.
 Bei ya Boga ni sh. 1500 hadi sh.3500 katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam.
 Bei ya Embe ni Sh.600 hadi 700 katika soko la Mabibo.
Bei ya Ndizi Mbivu inauzwa kati ya Sh. 100 hadi Sh.150.

Taarifa hizi zimeandaliwa na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii


Hivyo makala BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

yaani makala yote BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/bei-za-matunda-soko-la-mabibo-kwa-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO"

Post a Comment