title : ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha
kiungo : ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha
ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha
Waziri wa mambo ya ndani nchini,Dkt Mwigulu Nchemba leo ameongoza oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa zimelimwa katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Mwigulu akishirikiana na kamanda wa jeshi la polisi mkoani Arusha,(RPC)Charles Mkumbo pamoja na vikosi vya askari wa jeshi la polisi mkoani hapa walilazimika kuacha magari yao njiani na kutembea umbali wa kilomita 5 milimani kufika katikati ya msitu huo ambapo wamiliki wa mashamba hayo walitokomea kusikojulikana.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo Mwigulu alisema kwamba serikali itaendelea na oparesheni pande zote za nchi na haitasita kuwakamata wahusika wote na kutaifisha magari yatakayotumika kusafirisha bangi.
Akizungumza na askari waliokuwa wakishiriki katika zoezi hilo Mwigulu mbali na kuwapongeza kwa kazi wanayofanya lakini aliwambia kwamba pamoja na kufanikiwa kuteketeza madawa ya kulevya yanayolimwa mashambani lakini waongeze juhudi pia katika kupambana na madawa ya kulevya yanayotengenezwa viwandani.

Hivyo makala ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha
yaani makala yote ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/ekari-sita-za-bangi-zateketezwa-mkoani.html
0 Response to "ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha"
Post a Comment