title : Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini
kiungo : Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini
Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini
yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-dk-shein-akutana-na-kufanya.html
0 Response to "Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini"
Post a Comment