title : UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA
kiungo : UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA
UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA
Na Fredy Mgunda,Iringa.
WALIMU wa shule ya msingi Ilula na Isoliwaya zilizoko katika kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo wanakabiriwa na magonjwa ya Mlipuko kwa kukabiliwa na changomoto ya choo.
Shule hizo zilizotenganishwa baada idadi kubwa ya wanafunzi, walimu 49 wanalazimika kutumia choo Chenye matundu mawili hali inayohatarisha usalama wa afya zao.
Akizungumza mbele ya Katibu wa umoja wa wanawake wa Ccm (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer, mwalimu Msaidizi wa shule ya Msingi Isoliwaya, Huruma Mbena alisema hali hiyo inahatarisha afya za walimu kutokana na changamoto hiyo.
Mbena alisema kuwa baada ya shule hizo kutenganishwa vyoo vya walimu vilibaki kwa shule ya Ilula hivyo kutokana na idadi kubwa ya walimu wanalazimika kutumia vyoo hivyo licha ya kutotosheleza kutokana na idadi kubwa ya walimu.
Katibu wa umoja wa wanawake wa Ccm (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer akiongea na baadhi ya viongozi ,walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Isoliwaya wakatika wa kukabidhi msaada huo kwa ajili ya kujengea vyoo ya walimu wa shule hiyo
Katibu wa umoja wa wanawake wa Ccm (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wa chama hicho Leah Moto na Nancy Nyalusi walikuwa kwenye ziara ya kusherekea miaka 41 ya chama cha mapinduzi
Hili ni moja ya jengo lashule ya msingi Ilula iliyopo katika tarafa ya mazombe wilayani kilolo mkoani Iringa
Baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi wilaya ya kilolo wakiwa katika kusherekea miaka 41 ya kuzaliwa chama chao kwa kufanya shughuli za kijamiii
Hivyo makala UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA
yaani makala yote UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/uwt-kilolo-kutatua-tatizo-la-vyoo-shule.html
0 Response to "UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA"
Post a Comment