TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI

TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI
kiungo : TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI

soma pia


TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii.

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imesema imeamua kuhamishia huduma ya usafiri wa treni kutokea Dodoma kuanzia kesho.Uamuzi huo unakuja kipindi ambacho TRL imesitisha huduma za usafiri huo kutokea Dar es Salaam baada ya miundombinu ya reli kuharibika kati ya stesheni za Kilosa na Gulwe kutokana na mafuriko ya mvua zinazonyesha maeneo hayo kuharibu miundombinu. 

Akizungunza Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mkuu Msaidizi (uendeshaji) kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuuu wa kampuni hiyo, Focus Sahani amesema wakati wanaendelea na matengenezo ya miundombinu iliyohariviwa na mafuriko eneo hilo wameona ni vema usafiri huo ukaendelea kwa kuanzia Mkoa wa Dodoma. 

Amesema uongozi baada ya kutathimini hali ya miundombinu ya maeneo mengine yaliyo salama imeamua kuhamishia huduma ya usafiri huo wa treni kutokea Dodoma. Sahani amesema ratiba ya huduma ya muda wa kuanzia Dodoma ni kwamba treni ya abiria itaondoka saa moja usiku kesho Jumanne na Ijumaa kwenda Kigoma, Mwanza Name Mpanda ambako inatarajiwa kuwasili Mwanza saa 12 jioni siku ya Jumatano na Mpanda saa 12 jioni na Kigoma saa 12 jioni. 

"Treni kutoka Mpanda, Mwanza na Kigoma zitatoka huko siku za Jumapili na Alhamis tu. Mpanda inatoka saa moja asubuhi, Mwanza inatoka saa mbili asubuhi na Kigoma inatoka saa1:30 asubuhi.Treni hizo zinafika Dodoma siku ya Jumatatu na Ijumaa saa 1:00 asubuhi, "amesema. 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu Msaidizi (Uendeshaji) wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) Focus Sahani akizungumza leo jijini Dar es Salaam kuhusu uamuzi wa kampuni hiyo kutangaza ratiba ya usafiri wa treni kuanzia Mkoa wa Dodoma kwenda mikoa mingine baada ya huduma ya usafiri huo kusitishwa kwa stesheni ya Dar es Salaam.Pichani kushoto ni wengine ni maofisa wa kampuni hiyo.



Hivyo makala TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI

yaani makala yote TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/trl-yatangaza-ratiba-usafiri-wa-treni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR WARUDISHIWA NAULI"

Post a Comment