title : UNAKARIBISHWA KATIKA MISA YA KISWAHILI JIJINI NEW YORK SIKU YA JUMAPILI AGOSTI 12, 2018
kiungo : UNAKARIBISHWA KATIKA MISA YA KISWAHILI JIJINI NEW YORK SIKU YA JUMAPILI AGOSTI 12, 2018
UNAKARIBISHWA KATIKA MISA YA KISWAHILI JIJINI NEW YORK SIKU YA JUMAPILI AGOSTI 12, 2018
Wakristu wapendwa,
Tumsifu Yesu Kristu.
Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,
Tutakuwa na misa yetu ya kiswahili itayofanyika Jumapili tarehe 12 Mwezi Agusti 2018, kuanzia saa nane mchana. ( Sunday, 12 August 2018 at 2 pm). Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.
Karibuni tumshukuru Mungu.
Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.
Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.
Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi.
Mbarikiwe na
Karibuni...sana..
Kutoka kwa Padre Mushi
Hivyo makala UNAKARIBISHWA KATIKA MISA YA KISWAHILI JIJINI NEW YORK SIKU YA JUMAPILI AGOSTI 12, 2018
yaani makala yote UNAKARIBISHWA KATIKA MISA YA KISWAHILI JIJINI NEW YORK SIKU YA JUMAPILI AGOSTI 12, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UNAKARIBISHWA KATIKA MISA YA KISWAHILI JIJINI NEW YORK SIKU YA JUMAPILI AGOSTI 12, 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/unakaribishwa-katika-misa-ya-kiswahili.html
0 Response to "UNAKARIBISHWA KATIKA MISA YA KISWAHILI JIJINI NEW YORK SIKU YA JUMAPILI AGOSTI 12, 2018"
Post a Comment