title : Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara.
kiungo : Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara.
Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara.
Waziri wa Kilimo Dkt.Charles Tizeba ametembelea Bandari ya Mkoa wa Mtwara na kukagua Usafirishaji wa Zao la Korosho Ghafi zinazokwenda nchi za India na Vietnam.
Kufikia Januari 10 mwaka huu Jumla ya Tani Laki 190 za Korosho tayari zimesafirishwa, ambapo lengo ni kusafirisha Tani 230 katika Msimu huu.Waziri wa Kilimo Charles Tizeba akiwa na Mkuu wa Bandari ya Mtwara Nelson Mlali wakikagua mizigo ya Zao la Korosho inayosafirishwa kwenda katika Nchi za India na Vietnam.
Waziri wa Kilimo Charles Tizeba akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Nelson Mlali na Kulia kwake Kaim Mkurugenz Bodi ya Korosho CBT Hassan Jarufu Mara baada ya kuingia Eneo la Bandari ya Mtwara.
Kaimu Mkurugenz wa Bodi ya Korosho CBT Hassan Jarufu akimtambulisha Meneja Mkuu wa TANECU Mohammed Mwinyuku kwa Waziri wa Kilimo Charles Tizeba Mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Mtwara,Waziri wa Kilimo Charles Tizeba yupo Ziara ni Mkoa wa Mtwara kukagua Uuzwaji wa Zao la Korosho.
Hivyo makala Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara.
yaani makala yote Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-wa-kilimo-dkttizeba-akagua.html
0 Response to "Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara."
Post a Comment