title : Abiria mwenye umri wa miaka 100 afanyiwa 'suprise birthday' na ATCL ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner
kiungo : Abiria mwenye umri wa miaka 100 afanyiwa 'suprise birthday' na ATCL ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner
Abiria mwenye umri wa miaka 100 afanyiwa 'suprise birthday' na ATCL ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner
Wafanyakazi wa Shirika la ndege ATCL jana Ijumaa wamemfanyia 'Suprise Birthday Party' mmoja wa abiria wao Mzee Kimweri Kivo mwenye umri wa miaka 100 kwa kumwandalia sherehe ndani ya ndege ya Beoing 787-8 Dreamliner baada ya kutua katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitokea Dar es Salaam.
Mzee Kivo ambaye hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kupanda ndege tangu azaliwe, aliishukuru ATCL kwa ukarimu wao na pia amempongeza Rais John Magufuli kwa ununuzi wa ndege hiyo na nyingine ambapo umemwezesha naye kutimiza ndoto ya kuipanda na pia kwa kuiwezesha ATCL kuwa na ndege za kisasa zenye huduma za kimataifa.
Wafanyakazi wa Shirika la ndege ATCL wakiandaa keki maalum kwa mmoja wa abiria wao Mzee Kimweri Kivo katika kusherehekea birthday yake ndani ya Boeing 787-8 DreamlinerMzee Kimweri Kivo akijiandaa kukata keki katika kusherehekea birthday yake ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner
Mzee Kimweri Kivo akisherehekea birthday yake ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner
Mzee Kimweri Kivo akijichana ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner
Hivyo makala Abiria mwenye umri wa miaka 100 afanyiwa 'suprise birthday' na ATCL ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner
yaani makala yote Abiria mwenye umri wa miaka 100 afanyiwa 'suprise birthday' na ATCL ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Abiria mwenye umri wa miaka 100 afanyiwa 'suprise birthday' na ATCL ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/abiria-mwenye-umri-wa-miaka-100.html
0 Response to "Abiria mwenye umri wa miaka 100 afanyiwa 'suprise birthday' na ATCL ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner"
Post a Comment