RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA.

RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA.
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA.

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA.

Mwambawahabari

  Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilli kumkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya Sifael nchini India, kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.     
 Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India, kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo. 
 Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na waendesha kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU wakimsikiliza mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma  akishukuru kwa kupokea shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu yake nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike pia alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.  
 Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na ujumbe alioongozana nao pamoja na  waendesha kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU wakiwa katika picha ya kumbukumbu na mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma  baada ya kumkabidhi  shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu ya msanii huyo nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike pia alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya Sifael nchini India kwa  matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake. 


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA.

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-magufuli-na-mama-janeth_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA."

Post a Comment