title : HAMAD RASHID AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO WA CHINA
kiungo : HAMAD RASHID AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO WA CHINA
HAMAD RASHID AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO WA CHINA
Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo wa China, Mhe. Dkt. QU DONGYU walipokutana katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijijni Dar es Salaam tarehe 26 Januari, 2018 kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikino katika sekta ya kilimo na uvuvi kati ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na China. Mhe. Dkt. QU DONGYU yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Mazungumzo kati ya Mhe. Hamad Rashid na Mhe. Dkt. QU DONGYU yakiendelea huku wajumbe wa China na Tanzania wakifuatilia.
Mhe. Hamad Rashid na Dkt. QU kwa pamoja wakipitia baadhi ya nyaraka za ushirikiano
Picha ya pamoja kati ya Mhe. Hamad Rashid na Dkt. QU DONGYU pamoja na wajumbe wengine walioshiriki kikao hicho. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Mbelwa Kairuki 
Mhe. Hamad Rashid akiagana na Dkt. QU DONGYU mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.
Hivyo makala HAMAD RASHID AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO WA CHINA
yaani makala yote HAMAD RASHID AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO WA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAMAD RASHID AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO WA CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/hamad-rashid-akutana-na-naibu-waziri-wa.html
0 Response to "HAMAD RASHID AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO WA CHINA"
Post a Comment