title : WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA
kiungo : WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA
WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo wakati alipowasili kwenye ukumbi wa CCM jijini Dodoma kuhutubia Mkutano wa Halmashairi Kuu ya CCT Julai 12, 2018. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Anilikisa Cheyo na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Jukuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) jijini Dodoma, Julai 12, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Anilikisa Cheyo, na wapili kushoto ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa CCT, Askofu, Dkt. Jacob Chimeledya.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCT jijini Dodoma Julai 12, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo baada ya kuhutubia Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCT jijini Dodoma Julai 12, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Anilikisa Cheyo na wapili kulia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Jacob Chimeledya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-ahutubia-mkutano-wa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCT JIJINI DODOMA"
Post a Comment