Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake

Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake
kiungo : Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake

soma pia


Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake

Aliyekuwa mwimbaji na Mkurugenzi wa bendi ya Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf amefunguka na kutilia mkazo na kuwaomba watu hususani wanawake ambao bado wana nyimbo zake za Taarab kwenye simu wazifute ili iwe kheri zaidi kwenye imani yake na dini yake.

Mzee Yusuf alisema hayo alipokwenda Babati mkoani Manyara katika harakati ya kuzidi kukutana na watu na kuwaomba wazifute nyimbo zake hizo za Taarab kwa kuwa anaamini zinakwenda kinyume na imani yake.

"Niko Babati kuzidi kuwaomba Waislam wanifanyie 'Ihsaan' ya kuzidi kuniombea dua na kuzifuta nyimbo zangu kwenye simu zao kwa ajili ya dini ya 'Allah' iwe kheri na salama. Wengine nyinyi mpaka sasa simu zenu bado zinabalaa naombeni mzifute kwa ajili ya 'Allah' naona haya simu zikipigwa zikaita hizo nyimbo kwani najisikia vibaya sijui nifanyaje" alisema Mzee Yusuf

Aidha Mzee Yusuf alisema kuwa kwa sasa anaogopa na kuwataka wale ambao wanasema wamemkumbuka kwenye masuala ya uimbaji wa nyimbo za Taarabu waache kumkumbuka kwenye mambo hayo bali wamsaidie kwa kuzifuta nyimbo hizo. Mbali na hilo Mzee amewaomba watu wa vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii kufuta kazi zake zote hizo kwa ajili ya hisani ya 'Allah'


Hivyo makala Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake

yaani makala yote Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mzee-yusuf-awaomba-wanawake-kufuta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mzee Yusuf awaomba wanawake kufuta nyimbo zake"

Post a Comment